Showing posts with label MAPISHI. Show all posts
Showing posts with label MAPISHI. Show all posts
๐๐๐๐ช๐ฃ๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐ฉ๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐๐ฏ๐ ๐๐๐จ๐ ๐ช๐ฉ๐๐ ๐ฏ๐ ๐จ๐๐๐๐
BISKUTI ZA SIAGI Maandalizi; dakika 15 Muda wa kupika; dakika 15 Muda jumla; dakika 30 MAHITAJI โKikombe 1 siagi 1/2 kikombe icing sugar โKijiko 1 cha chai vanilla extract โVikombe 2 unga wa ngano 1/4 kijiko cha chai chumvi MAELEZO โญAnza kwa kuwasha oven joto la 175 degrees C ili ipate joto wakati unachanganya unga. Kwenye bakuli kubwa changanya siagi, icing sugar na chumvi mpaka mchanganyiko ulainike vizuri. (unaweza kutumia mashine au bila mashine. Ni rahisi zaidi ukitumia mashine). Ongeza vanilla, changanya kwa dakika kama moja nyingine โญOngeza unga wa ngano. Kanda mpaka uchanganyike vizuri kabisa โญGawanya mchanganyiko wa unga kwa kipimo cha kijiko 1 cha chakula, tengeneza mduara kama vimpira. Panga vizuri kwenye chombo cha kuokea ukitumia karatasi za kuokea. โญHakikisha umeacha nafasi ya kutosha katikati ya kila biskuti. โญKandamiza kila donge la biskuti kwa kutumia cookies stamp, uma, glasi ya maji au kifaa chochote utakachotumia kutengeneza umbo unalotaka โญHakikisha unachovya kifaa cha kutengenezea umbo la biskuti kwenye icing sugar ili kusaidia unga usinate kwenye kifaa na pia umbo litokee vizuri zaidi โญOka kwenye oven iliyopata moto katika joto ya 175 degrees kwa dakika 12-15 au mpaka zianze kupata rangi ya kahawia chini. โญ Usishangae zikiwa laini sana wakati unazitoa kwenye oven, ni kawaida zikipoa zinakuwa kawaida โญIpua, acha zipoe kwa dakika 5 kabla ya kuhamishia kwenye waya wa kupozea zipoe kabisa. Kwa mapishi zaidi ya cookies na biscuits, jipatie kitabu๐๐ ๐๐ฉ๐ ๐ฌ๐ ๐ข๐๐ฎ๐๐
MKATE WA MAYAI ( SPONGE CAKE ) *MAHITAJI* ๏ฟผ Mayai sita ๏ฟผ Sukari nusu kikombe ๏ฟผunga kikombe kimoja ๏ฟผhiliki ๏ฟผ vanilla(si lazima) ๏ฟผzabibu kavu(si lazima) baking powder kijiko cha chai 1 *MATAYARISHO* ๏ฟผTayarisha sufuria ya kiasi na uipake mafuta. ๏ฟผWeka mayai, sukari na iliki kwenye bakuli uanze kupiga Kwa mashini(mixer) au mchapio mpaka mayai yafure yaani yazidi yawe mara mbili yake. ๏ฟผAnza kuweka unga kidogo kidogo huku ukikoroga taratibu kisha ufuatie na vanilla. ๏ฟผWeka mchanganyiko wote kwenye sufuria. ๏ฟผTupia tupia zabibu juu ya mchanganyiko. ๏ฟผBake mkate wako Kwa moto wa juu na chini kwenye jiko la makaa( hakikisha moto kwenye jiko ni kidogo sana alafu ukifinika ueke makaa ya kutosha juu ya utakachofunikia sufuria, mfuniko ๏ฟผ unaweza ukabake kwa oven kwa Moto wa 250ยฐC takriban nusu saa(itategemea na aina ya oven) ๏ฟผbofya mkate wako Kwa kijiti. Kijiti kikitoka kikavu mkate upo tayari. NB: zingatia: *mkate wa mayai hautiwi siagi, blueband, butter wala mafuta. Ni ngano tu na mayai *kipimo kizuri cha mkate cha mayai ni ujazo wa ngano na ujazo wa mayai uwe sawa sawa, yaani kwa mfano unga glass moja basi na mayai yafikie ujazo huo huo wa glass moja. *wakati wa kupiga mayai inatakiwa usiache ache mkono, upige au kukoroga mpaka yafanye povu; itafanya mkate uvimbe vizuri. *mkate huu uko soft na mlaini kuliko keki ndio maana ukaitwa sponge cake.๐๐๐๐ฅ๐๐ฉ๐ ๐ฏ๐ ๐ฃ๐ฎ๐๐ข๐
Biriani lenye mvuto na lenye ladha
๐ BIRIANI MAHITAJI โชNyama - kilo moja na nusu โชMchele kilo moja wa basmat โชChumvi - kiasi โชMafuta - 1 Kikombe โชSamli - ยฝ Kikombe โชKitunguu(Kata virefu virefu) - 3Vikubwa โชNyanya (kata vipande) - 2 โชNyanya kopo - 1 Kijiko cha chakula โชKitunguu saumu 1 Kijiko cha chakula โชTangawazi - 1 Kijiko cha chakula โชPilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chai โชPilipili ya unga nyekundu - ยฝ Kijiko cha chai โชMajani ya kotmiri iliyokatwa - 2 Vijiko vya chakula โชViazi 10 โชGram masala - 1 Kijiko cha chai โชMtindi - robo Kikombe cha chai JINSI YA KUPIKA 1. Kwenya karai au (sufuria) mimina mafuta na samli. Yakishapata moto mimina vitunguu vikaange mpaka viwe rangi ya hudhurungi. Vitowe viweke pembeni. 2. Kaanga viazi na viweke pembeni. 3. Chukua sufuria tia nyama, thomu, tangawizi, pilipili, nyanya, nyanya ya kopo, mtindi, na pilipili ya unga. Chemsha mpaka iive. 4. Tia vile vitunguu ulioyovikaanga, tia viazi, gram masala, kotmiri na yale mafuta uliokaangia vitunguu kama robo kikombe, acha moto mdogo mdogo kama robo saa, epua weka pembeni. VPIMO VYA WALI WA BIRIANI. โชMchele - Vikombe 5 vikubwa (Kikombe cha chai) โชHiliki nzima - 4 โชMdalasini mzima - 1 โชRangi ya biriani - robo Kijiko cha(yoyote upendayo) โชMafuta yaliyokaangiwa vitunguu - nusu Kikombe โชChumvi - kiasi NAMNA YA KUTAYARISHA WALI WA BIRIANI 1.Osha mchele uroweke kwenye maji muda wa dakika 20. 2. Chemsha maji kwenye sufuria Vikombe 10 3. Tia hiliki na mdalasini kwenye maji. Yakishachemka unatia mchele,chemsha usiive sana, unamwaga maji. Unamimina tena ule mchele nusu kwenye sufuria, unatia rangi kidogo, halafu unamimina mchele uliyobakia unatia rangi iliyobakia. Kisha chukua mafuta unamimina juu ya mchele, unarudisha jikono unaweka moto mdogo ukisha kuiva, tayari kupakuliwa. byee๐๐๐ก๐ ๐๐๐ ๐ ๐ข๐๐ฅ๐๐จ๐๐ ๐ฎ๐๐ ๐
Half cake Mahitaji Unga wa ngano kikombe 1na1/2 (kama robo hivi) Sukari 1/4 kikombe Baking powder 1/2 kijiko cha chai Magadi soda (bicarbonate soda/baking soda) 1 kijiko cha chai Mafuta 2 vijiko vya chai Mafuta ya kukaangia Maji ya uvuguvugu kiasi Matayarisho Changanya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) kisha ukande (hakikisha unakuwa mgumu) Baada ya hapo sukuma na ukate shape uipendayo (hakikisha unakata vipande vinene kiasi na sio kama mandazi) Baada ya hapo ziweke sehemu yenye joto na uache ziumuke. Zikisha umuka zikaange katika moto mdogo ili ziive mpaka ndani. Zikisha iva zitoe na uziweke katika kitchen towel ili zichuje mafuta. Ziache zipoe na hapo zitakuwa tayari kwa kuliwa. dondoo muhimu:-๐๐๐๐๐ Jinsi ya kupika half keki zilizo pasuka na kuiva vizuri. 1.Hakikisha unatumia vipimo sahihi bila kusahau bicarbonate of soda(baking soda) hiki ndicho kiungo muhimu ktk half cake na baking powder...(hamira SI lazima kuweka kwa half cake za kula tu...labda ziwe za biashara) 2.Unga wako unapokanda uwe mgumu hata kidole kishindwe kupenya kwenye unga Hauhitaji kuikanda sana kama maandazi ukishashikana tu inatosha. 3.Weka half keki zako kwenye mafuta kabla hayajapata moto. 4.Poza mafuta yako kila baada ya mpiko mmoja.(unaeza kuepua ili yapoe chini...au ukaongeza mafuta ya baridi jikoni )Karanga za mayai
create by Director13 JINSI YA KUPIKA KARANGA ZA MAYAI Mahitaji Ya Kupika Karanga Za Mayai 1. Karanga kilo moja. 2. Mayai 2 3. Chumvi kijiko kimoja. 4. Sukari kiasi unachohitaji. 5. Unga wa ngano robo kilo 6. Mafuta ya kupikia. Jinsi Ya Kupika Karanga 1. Chukua karanga weka katika sinia,chambua kuondoa karanga mbovu,na taka taka. 2. Baada ya kuchambua weka katika bakuli au chombo cha kukandia,piga mayai katika chombo pembeni na uweke chumvi. Tia mayai katika karanga na kisha zichanganye kuhakikisha zote zimekolea mayai. 3. Chukua kiasi cha sukari unachokadiria kitakufaa.Tia katika ule mchanganyiko wa karanga,mayai na chumvi kisha 4. Changanya ili sukari inate katika karanga zote. 5. Chukua unga tia katika mchanganyiko wako, changanya vizuri kuhakikisha karanga zote zimekuwa nyeupe kwakufunikwa na unga. 6. Weka mafuta kiasi kwenye kikaango, yakichemka anza kukaanga karanga zako hakikisha unazitoa kabla hazijawa brown sana usijeunguza karanga zako. #MTAG RAFIKI YAKO AJE AJIFUNZE MAPISHI Usisahu kuLIKE na KuComment ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐โค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅโค๏ธโ๐ฅ Director13 createdKeki za maharusi jinsi ya kutengeneza
Maana ya mchele wa Basmati
Makande ya chukuchuku
Wapenzi wa Mapishiclub.Blogspot.Com leo nawaletea pushing la makande chukuchuku ambayo Yana mvuto๐ Ungana Nami Director13 Mahitaji๐๐๐ 1:Nyanya mbili 2:kitunguu Kimora 3:hoho/karoti [moja] 4 :mafuta 5:Chumvi Unaaviandaa viungo vyako kwa kuviosha na kuvika takata kama kawaida nyanya weka ๐ tofauti kabisa then una ka๐๐ฃ๐๐ ๐ซ๐๐ฉ๐ช๐ฃ๐๐ช๐ช ๐ข๐ฅ๐๐ ๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐ ๐ซ๐๐ข๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐ง๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐ ๐๐ง๐ค๐ฌ unaweka hoho na karoti visiive sana unaacha kidogo alafu una weka nyanya unakaangaa nyanya mpaka ziwe lain uku ukiongeza maji kidogo kidogo zikisha iva una weka katika makande yako uliokwisha andaa mapema utaacha kidogo yazidi ku chemka kama dakika 15 kisha una epua tayari kwa kulana imani makande ya chukuchuku umeyatamani yalivyo na test(ladha) kwa herii tukutanekwenye somo jingine asante mwandishi: director kessy ni follower istagram Welcome mapishiclub.Blogspot.ComMango salad
Leo nimewaletea pushing la mango salad Mango Salad ___________________________ Ingredients: โซ๏ธMangoes โซ๏ธTomatoes โซ๏ธRed Onion โซ๏ธFresh Basil โซ๏ธLemon Juice โซ๏ธOlive Oil โซ๏ธChilli โซ๏ธBlack Pepper โซ๏ธSalt Enjoy!Maandazi ya kuumuka vizuri
mimi Kijani
Jinsi ya kupika ="Colour:blue"> "vanilla(ukipenda)ni nzuri kwa kuweka ladha 7:Baking powder HATUA ZA KUFUATA
Kutengeneza Sabuni za vyombo za maji
<
Maligafi
1:maji l0
2:sulporic acid 1,5 Nusu
3:siless vijiko 5
4:formalinge vijiko 5
5:chumvi robo ilikuongeza uzito wa sabuni
6:sodash vijiko 4 vya chakula
7:Rangi kijiko 1 chakula
8:Perfume vijiko 2 Vya chakula
9:maji lita 10
#changanya vyote kwenye maji ya lita 10
"koroga dakika 20-30 na uhakikishe hakuna Weupe wa mabonge ndani ya dawa
N.B