Shampoo za nywele za kisasa

.Welcome mapishiclub.Blogspot.Com Habari ni wadau wa mapishiclub naimani ni wazima nyote leo nitafundisha jinsi ya kutengeneza shampoo OR " 1:MAJI LITA 10 2GRISELINE VIJIKO 5 VYA CHAKULA 3:SILESS VIJIKO 1.5 (NUSU) 3:FORMAINE VIJIKO 4 VYA CHAI 4:CHUMVI 1.4 YANI ROBO 5 SODASH VIJIKO 2 VYA CHAKULA 6:SULPHON ASID VIJIKO 4 VYA CHAKULA 7:rangi(hapa utachagua wewe unavyopenda kama rangi ya kijani ama orange ama red ni wewe Mimina maji ya lita 10 katika beseni uliloandaa kwa usafi kisha changanya "{Malighafi}"Zote katika maji Kisha ongeza chumvi kufanya shampoo yako iwe nzito kisha koroga maji ya sabuni pembeni kwa dakika 15 changanya katika beseni changanya koroga Perfume vijiko 3 vya chakula Hakikisha

Post a Comment

0 Comments