Jinsi ya kupika bagia za kunde zilizo tamu

TUPIKE BAGIA ZA KUNDE

SIMPLE RECIPE

1️⃣Andaa kunde zako uchambua vzr ondoa uchafu wote halafu zioshe

2️⃣Baada ya kuziosha ziroweke kwa muda mrefu (usiku kucha au mchana kutwa)...

3️⃣mwaga maji utoe Maganda ya juu mara kadhaa...

4️⃣weka kwenye blender pamoja na kotmiri kitunguu maji na thom, uweke maji kidogo sana kiasi blender iweze kuzunguka tu... ukiweka maji mengi utazipoteza kunde zako manake zitakua juice. Blend vizuri zisagike halafu weka kwenye chujio zikamue maji

5️⃣ Zikishajichuja wakati nataka kuzichoma huweka chumvi na baking powder kidooooogo. Hizi za leo nimezifreeze, nimechoma tano tu kuonesha end result. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

. .

Post a Comment

0 Comments