Wapenzi wa Mapishiclub.Blogspot.Com leo nawaletea pushing la makande chukuchuku ambayo Yana mvuto๐
Ungana Nami Director13
Mahitaji๐๐๐
1:Nyanya mbili
2:kitunguu Kimora
3:hoho/karoti [moja]
4 :mafuta
5:Chumvi
Unaaviandaa viungo vyako kwa kuviosha na kuvika takata kama kawaida nyanya weka ๐ tofauti kabisa then una ka๐๐ฃ๐๐ ๐ซ๐๐ฉ๐ช๐ฃ๐๐ช๐ช ๐ข๐ฅ๐๐ ๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐ ๐ซ๐๐ข๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐ง๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐ ๐๐ง๐ค๐ฌ unaweka hoho na karoti visiive sana unaacha kidogo alafu una weka nyanya unakaangaa nyanya mpaka ziwe lain uku ukiongeza maji kidogo kidogo zikisha iva
una weka katika makande yako uliokwisha andaa mapema utaacha kidogo yazidi ku chemka kama dakika 15 kisha una epua tayari kwa kulana
imani makande ya chukuchuku umeyatamani yalivyo na test(ladha)
kwa herii tukutanekwenye somo jingine asante
mwandishi: director kessy ni follower istagram
Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
0 Comments: