TUPIKE BAGIA ZA KUNDE
SIMPLE RECIPE
1️⃣Andaa kunde zako uchambua vzr ondoa uchafu wote halafu zioshe
2️⃣Baada ya kuziosha ziroweke kwa muda mrefu (usiku kucha au mchana kutwa)...
3️⃣mwaga maji utoe Maganda ya juu mara kadhaa...
4️⃣weka kwenye blender pamoja na kotmiri kitunguu maji na thom, uweke maji kidogo sana kiasi blender iweze kuzunguka tu... ukiweka maji mengi utazipoteza kunde zako manake zitakua juice. Blend vizuri zisagike halafu weka kwenye chujio zikamue maji
5️⃣ Zikishajichuja wakati nataka kuzichoma huweka chumvi na baking powder kidooooogo. Hizi za leo nimezifreeze, nimechoma tano tu kuonesha end result. ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
. .

MAPISHI YA VIKOKOTO VITAMU
NOTE: mapishi haya yaliyoandaliwa na director kessy sio kwa ajili ya vitafunio tu unaweza ukafunguwa biashara au ukasambaza madukani baada ya kutengeneza na ukajipatia kipato
. MAHITAJI YAKE
Unga – Vikombe 2
. .
Samli – 2 Vijiko vya chakula. .
Maziwa ¾ Kikombe. .
Iliki – Kiasi. .
Mafuta ya kukarangia Kiasi. .
MAHITAJI YA :SHIRASukari – 1 Kikombe
. .
Maji ¾ Kikombe. .
Vanila ½ Kijiko cha chaiJINSI YA KUPIKA
Katika kisufuria pasha moto maziwa na wakati huo huo chemsha Samli katika kisufuria kengine. Tia unga katika bakuli na iliki, kisha mimina samli iliyochemka na huku unachanganya. Tia maziwa na uwendele kuchanganya vizuri isiwe na madonge, ikiwa maziwa haitoshi ongeza maji kidogo. Kisha uwache unga ukae mahali pa joto kwa muda wa dakika 10 hivi.
Halafu fanya viduara vidogo vidogo, sukuma kwenye kibao ,meza kisha kata shape utakayopenda wew. Kisha kahanga kwenye mafuta yaliyopata moto hadi vibadilike rangi , kisha viepue vichuje mafuta. Chemsha shira, ikiwa tayari mimina visheti na upepete na kuzichanganya zipate shira kote.
Weka kwenye sahani na zitakuwa tayari kwa kuliwa na kahawa. ✍️DIRECTOR KESSY

MADA : TANGAWIZI π«
FAIDA ZA TANGAWIZI 1. Husaidia katika mmeng’enyo wa chakula. Husaidia katika mmeng’enyo na ndiyo maana hii inawafaa waliovimbiwa na wanaojambajamba na kutoa ushuzi.
Mtu anayesumbuliwa na matatizo yahusuyo mmeng’enyo wa chakula kama vile : Vidonda vya tumbo,waliovimbiwa na wanaojambajamba na kutoa ushuzi, choo kigumu , IBS (Irritable bowel syndrome) kuwashwa kwenye sehemu ya haja kubwa , wanaweza wakapata nafuu kwa kutumia kiungo hiki kiitwacho tangawizi ikiwa watakitumia kama chai au kiungo kwenye vyakula mara kwa mara. ✅ Inaboresha afya na kinga ya mwili, Ndani ya tangawizi kuna bayoakitivu kampaundi inayoitwa Gingerol , ambayo hukuza kinga ya mwili na kusaidia kuzuia Maambukizi ya bakteria wabaya pamoja na fangasi wanaoweza kudhuru mwili wako!
Tangawizi pia ina antioxidants (vizuia sumu) pamoja anti-inflammatory properties yani vizuia uvimbe . ✅ Huondoa maumivu na matatizo yote yahusuyo hedhi maarufu kama PMS yani pre-Menstrual Syndrome ymptoms..
Wakati wa mzunguko wao ,wanawake wengi huteswa sana na maumivu makali ya tumbo lakini kwa msaada wa tangawizi maumivu yanaweza kabisa kuondoshwa! Tangawizi inapotumika siku tatu zile za awalinza mzunguko wa mwanamke wa hedhi inasaidia kabisa kuondoa na kuounguza uchungu wa maumivu..hii ni kutokana na anti properties zilizomo kwenye tangawizi nflammatory husaidia sana tatizo hilo la PMS. ✅ Huzuia kutapika na kichefuchefu pamoja matatizo yote yahusuyo mvurugiko wa tumbo!
Tangawizi huzuia kutapika ,kichefuchefu na mvurugiko wa tumbo hata kama kumesababishwa na mwendokasi wa gari wakati wa safari (au tatizo la kutapika kila ukisafiri -Motion sickness) ,kipandauso, Ugonjwa wa asubuhi au ‘morning sickness’ ugonjwa ambao ni hali ya kuhisi kama kutapika au kichefuchefu au kujisikia hovyo hovyo mara baada ya kuamka.
✅ Inaboresha ubongo kufanya kazi vizuri . Kwa sababu Tangawizi ina anti-nflammatory properties na antioxidants ndani yake basi.inalinda ubongo dhidi ya free radicals zinazowez

TUKIMALIZA KULA TUSITUPE HII DAWA YA MOYO.
UNASUMBULIWA NA PRESSURE YA KUPANDA NA KUSHUKA? π€·
CHUKUA MBEGU 2.
ZIKATEKATE HALAFU ZIPONDE KWENYE KINU KIDOGO.
CHEMSHA KWENYE MAJI LITA 2 ICHEMKE MPAKA IBAKI LITA NA NUSU.
EPUA IPOE.
ANZA KUNYWA ANGALAO GLASS 2 KWA SIKU.
WAGONJWA WA PRESSURE WATAELEWA KWA HARAKA.
Jitibu Bure kabisa bila cent
Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
JINSI YA KUPIKA BOFLO MKATE WA ZANZIBAR.
MAHITAJI NA VIPIMO.
Kipimo cha mikate miwili
i. Unga mweupe - 6 vikombe (29 ounces takriban)
ii. Hamira - 2 vijiko vya chai
iii. Siagi (butter) - 2 Vijiko vya kulia
iv. Maji ya dafudafu (warm water) - 1 kikombe
v. Maziwa dafudafu (warm milk ) - 1 kikombe
vi. Sukari - 2 Vijiko vya kulia
vii. Chumvi - 1 kijiko cha chai
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA.
1. Weka katika bakuli la mashine (electrical bowl) hamira, maziwa, sukari chumvi na siagi iliyoyaushwa. Changanya vizuri kwa mwiko.
2. Tia unga pole pole huku umeasha mashine ikande, ukiongezea unga mpaka umalizike.
3. Pakaza siagi bakuli jengine kubwa kisha mimina mchanganyiko. Funika kwa kitambaa kilichokuwa kimeloa maji (damp cloth) au karatasi ya plastiki (plastic wrap). Uache unga uumuke mpaka uwe saizi ya mara mbili yake.
4. Utoe hewa unga na umimine juu ya baraza (flat surface). Gawa mchanganyiko sehemu mbili umimine katika treya ya loaf (loaf pan) size ya treya 9 x 5 inchies takriban. Acha uumuke tena kiasi nusu saa.
5. Washa oveni mapema kiasi 200 Degrees uchome (bake) kaisi nusu saa mpaka ugeuke rangi ya hudhurungi (golden brown).
6. Epua upoe ukiwa tayari kwa kuliwa
au kuuza
post by director13
Kuondoa kitambi kunahitaji mchanganyiko wa lishe bora, mazoezi, na mtindo mzuri wa maisha. Hapa kuna vidokezo vya kukusaidia:
1. Mazoezi ya Mwili
Mazoezi yana jukumu kubwa katika kupunguza mafuta ya tumboni:
Mazoezi ya moyo (Cardio): Kama vile kukimbia, kuruka kamba, au kuendesha baiskeli. Fanya angalau dakika 30-60 kwa siku mara 4-5 kwa wiki.
Mazoezi ya nguvu (Strength Training): Mazoezi kama kunyanyua vyuma au mazoezi ya mwili kama push-ups na squats yanasaidia kujenga misuli na kuchoma mafuta zaidi.
Mazoezi ya tumbo: Kama vile planks na sit-ups yanasaidia kuimarisha misuli ya tumbo.
2. Lishe Bora
Lishe ni muhimu sana kwa kupunguza kitambi:
Epuka vyakula vya sukari nyingi na mafuta mabaya: Kama soda, pipi, na vyakula vya kukaanga.
Kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi (fiber): Kama mboga za majani, matunda, na nafaka zisizokobolewa.
Punguza wanga rahisi: Kama mkate mweupe, wali mweupe, na tambi. Badala yake, chagua vyakula vya wanga tata kama viazi vitamu na ugali wa dona.
Kunywa maji ya kutosha: Maji husaidia mmeng’enyo wa chakula na kuondoa sumu mwilini. Kunywa glasi 6-8 kwa siku.
3. Epuka Msongo wa Mawazo
Msongo wa mawazo huongeza homoni ya cortisol ambayo huchangia kutunza mafuta tumboni. Jitahidi kupumzika kwa kufanya mazoezi ya kupumua, yoga, au kutenga muda wa kupumzika kila siku.
4. Pata Usingizi wa Kutosha
Usingizi wa saa 7-8 kwa usiku husaidia kudhibiti homoni zinazohusiana na hamu ya kula na huchangia kupunguza mafuta ya mwili.
5. Fuatilia Maendeleo Yako
Chukua vipimo mara kwa mara na weka ratiba ya mazoezi na lishe ili kufuatilia maendeleo yako.
Kwa matokeo bora, kuwa na uvumilivu na ufuate mpango huu mara kwa mara. Ikiwa una hali ya kiafya, wasiliana na daktari kabla ya kuanza mabadiliko makubwa ya mtindo wa maisha.
6. Epuka Vileo na Sigara
Vileo: Pombe hasa bia inahusiana sana na kuongeza mafuta ya tumboni. Jaribu kupunguza au kuacha kabisa unywaji wa pombe.
Uvutaji wa sigara: Ingawa hauhusiani moja kwa moja na mafuta ya tumboni, uvutaji sigara unaweza kuchangia afya mbaya ambayo inaweza kuathiri uzito wa mwili kwa ujumla.
7. Kula Kiasi Kinachofaa
Kula kupita kiasi, hata vyakula vya afya, kunaweza kusababisha kitambi. Fanya yafuatayo:
Tumia sahani ndogo ili kudhibiti kiasi cha chakula unachokula.
Kula taratibu na usikilize mwili wako unaposhiba.
Badala ya kula milo mitatu mikubwa, jaribu kula milo midogo 5-6 kwa siku ili kudhibiti njaa na kiwango cha sukari kwenye damu.
8. Jitahidi Kufanya Harakati Zaidi
Hata baada ya mazoezi, harakati za kila siku ni muhimu.
Tembea kwa miguu badala ya kutumia gari kwa safari fupi.
Tumia ngazi badala ya lifti.
Simama na kunyoosha mwili mara kwa mara kama kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu.
9. Pata Ushauri wa Kitaalam
Ikiwa umejaribu njia nyingi bila mafanikio:
Wasiliana na mtaalam wa lishe ili akusaidie kuunda mpango wa lishe unaofaa.
Pata ushauri wa daktari au mkufunzi wa mazoezi wa kitaalam kuhusu njia salama za kupunguza mafuta ya mwili.
10. Jitahidi Kuwa na Nidhamu na Uvumilivu
Kuondoa kitambi si jambo la siku moja. Mafanikio yanakuja kwa bidii na kudumu kwa muda mrefu.
Kumbuka, hakuna njia ya mkato ya kupunguza mafuta ya tumbo; usidanganywe na virutubisho au "dawa za miujiza."
Furahia mchakato na fanya mabadiliko kuwa sehemu ya maisha yako ya kila siku.
Kwa kufuata vidokezo hivi kwa bidii, utaona mabadiliko mazuri kwenye mwili wako na afya kwa ujumla. Endelea kuweka malengo na kuyatekeleza kwa hatua ndogo kila siku.
Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
JINSI YA KUPIKA NDIZI ZA NYAMA YA NG'OMBE.
Picha By Chef Victoria Mgaya
Mahitaji Ya Jinsi Ya Kupika Ndizi Za Nyama
1. Ndizi mbichi 10-20
2. Nyama ng’ombe 1 kilo moja
3. Kitunguu maji 2
4. Nyanya 2
5. Kitunguu saumu 7
6. Tangawizi 1 kipande
7. Ndimu 2
8. Chumvi kiasi
9. Mafuta kiasi
Jinsi Ya Kupika Ndizi Za Nyama
1. Saga kitunguu thomu na tangawiz mbichi.
2. Weka nyama katika sufuria tia kijiko kimoja cha kitunguu thomu na tangawizi, chumvi na ndimu kisha chemsha hadi iive.
3. Menya ndizi ukatekate.
4. Weka mafuta katika sufuria tia kitunguu maji kilokatwakatwa ukaange kidogo tu kisha tia Nyanya uendelea kukaanga.
5. Tia tangawizi na thomu ilobakia.
6. Tia ndizi, kaanga kidogo kisha tia supu ya nyama na nyama yake.
7. Ziache ndizi ziive mpaka zikiwa tayari
Kujiunga Na group Letu Bonyeza Hapa π mapishiclub.blogspot
*PISHI LA MKATE WA SINIA AU KUMIMINA*
*Mahitaji*
```π₯₯mchele wa mikate nusu na robo
π₯₯nazi za size tatu kama kubwa mbili
π₯₯sukari nyeupe robo
π₯₯hamira 1 tsblespoon
π₯₯hiliki 1 tablespoon
π₯₯samli au mafuta
Roweka mchele wako usiku kucha au masaa 6 mpaka 8.
Saga nazi zako upate tui zito ujazo wa lita moja,
Kwenye jagi la blenda
Weka mchele wako, tui, hamira na hiliki
Sagaa mpaka vilainike kusiwe na chenga za mchele.
Ukishasagika vizuri weka kwenye bakuli funika uumuke.
Wakati unaumusha, koleza jiko lako la mkaa likolee haswa
Uji wako wa mkate ukishaumuka vizuri
Weka sukari koroga mpaka kusiwe na mapovu..
Hapa jiko lako tayari lishashika vizuri moto, punguza moto kwenye jiko jengine, ilo liloshika moto libaki na moto wa kiasi sio mwingi ili usiunguze mkate maana na jiko lenyewe tayari lishashika moto,,kwenye jiko la pili ongezea na makaa ili moto usife ili tuje kuufunikia mkate wetu kwa juu.
Kisha weka sufuria ya kupikia mkate jikoni ipate moto,weka na samli kijiko kimoja au mafuta vijiko viwili yakisha pata moto,mimina mkorogo wako wa mchele funika kwa sinia lako lisilo na moto juu,hapa utakaa kias dakika 10 kisha utakuwa ushakazana mkate kwa chini ,sasa utaweka moto juu usiwe mkali sanaaa ukaunguza mkate,,weka moto wa kuivisha na kupigisha rangi,,,usikae mbali ukaunguza pishi lako.
Utakaa kias dakika 10 hivi funua angalia ukianza kupiga rangi na unaushika kama umekazana hauhisi uji uji katkat bas utauangalia kama tayari utaepua.
Ukishaepua ufunike usiuwache wazi ukakamaa juu..funika ile kile jasho la mkate unafanya kuwa mlaini...kama utakuwa na haraka na mkate wako basi chukua chombo kikubwa kama beseni weka maji kisha weka sufuria yenye mkate ufunike usiuwache wazi ili upoe kwa haraka.
Ukishapoa utautoa uukate```
Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
*JINSI YA KUPIKA DONATI YA HAMILA NA SUKARI YA KUGANDA* .
*Vipimo*
```Unga mweupe 2 ½ Vikombe vikubwa (mugs)
Siagi 2 vijiko vya supu
Hamira 2 vijiko vya chai
Yai 2
Mtindi 1 kijiko cha supu
Nazi ya unga 2 vijiko vya supu
Maji 1 ¼ takriban
Mafuta ya kukaangia
*Namna Ya Kutayarisha Na Kupika* Ikiwa hamira ni ya kuumua haraka (instant yeast) weka vitu vyote pamoja katika bakuli uchanganye vizuri uwe uzito wake kama wa mkate wa ufuta na sio mlaini sana kama wa kaimati.
Funika uumuke mchanganyiko kisha teka vidonge uchome katika mafuta makali kiasi.
3-Epua zichuje mafuta kisha mwagia sukari uliyokwishatayarisha iliyokwishapoa.
Shira ya kuganda
Sukari 2 gilasi
Maji ½ gilasi
Hiliki ½ kijiko cha chai
Weka katika sufuria, weka katika moto mdogo mdogo ichemke huku unakoroga usiachie mkono.
Endelea kukoroga mpaka ifanye povu na inate.
Epua ipowe umimine katika donuts uchanganye changanye mpaka shira igeuke sukari nyeupe ya kuganda (glazed)
Vidokezo:
Unaweza kutia nazi ya chenga
Unaweza kutia shira aina nyenginezo kama caramel, shira ya kawaida, maziwa mazito (condensed) au shira ya tende.```