MADA : TANGAWIZI 🫚
FAIDA ZA TANGAWIZI
1. Husaidia katika mmeng’enyo wa chakula.
Husaidia katika mmeng’enyo na ndiyo maana hii inawafaa waliovimbiwa na wanaojambajamba na kutoa ushuzi.
Mtu anayesumbuliwa na matatizo yahusuyo mmeng’enyo wa chakula kama vile : Vidonda vya tumbo,waliovimbiwa na wanaojambajamba na kutoa ushuzi, choo kigumu , IBS (Irritable bowel syndrome) kuwashwa kwenye sehemu ya haja kubwa , wanaweza wakapata nafuu kwa kutumia kiungo hiki kiitwacho tangawizi ikiwa watakitumia kama chai au kiungo kwenye vyakula mara kwa mara.
✅ Inaboresha afya na kinga ya mwili,
Ndani ya tangawizi kuna bayoakitivu kampaundi inayoitwa Gingerol , ambayo hukuza kinga ya mwili na kusaidia kuzuia Maambukizi ya bakteria wabaya pamoja na fangasi wanaoweza kudhuru mwili wako!
Tangawizi pia ina antioxidants (vizuia sumu) pamoja anti-inflammatory properties yani vizuia uvimbe .
✅ Huondoa maumivu na matatizo yote yahusuyo hedhi maarufu kama PMS yani pre-Menstrual Syndrome ymptoms..
Wakati wa mzunguko wao ,wanawake wengi huteswa sana na maumivu makali ya tumbo lakini kwa msaada wa tangawizi maumivu yanaweza kabisa kuondoshwa!
Tangawizi inapotumika siku tatu zile za awalinza mzunguko wa mwanamke wa hedhi inasaidia kabisa kuondoa na kuounguza uchungu wa maumivu..hii ni kutokana na anti properties zilizomo kwenye tangawizi nflammatory husaidia sana tatizo hilo la PMS.
✅ Huzuia kutapika na kichefuchefu pamoja matatizo yote yahusuyo mvurugiko wa tumbo!
Tangawizi huzuia kutapika ,kichefuchefu na mvurugiko wa tumbo hata kama kumesababishwa na mwendokasi wa gari wakati wa safari (au tatizo la kutapika kila ukisafiri -Motion sickness) ,kipandauso, Ugonjwa wa asubuhi au ‘morning sickness’ ugonjwa ambao ni hali ya kuhisi kama kutapika au kichefuchefu au kujisikia hovyo hovyo mara baada ya kuamka.
✅ Inaboresha ubongo kufanya kazi vizuri .
Kwa sababu Tangawizi ina anti-nflammatory properties na antioxidants ndani yake basi.inalinda ubongo dhidi ya free radicals zinazowez
0 Comments
Welcome to comment