Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
AUTHOR:𝔻𝕀ℝ𝔼ℂ𝕋𝕆ℝ13
JINSI YA KUPIKA KABABU ZA NYAMA YA KUSAGA
♦️MAHITAJI
👉 Nyama ya kusaga Kilo 1
👉 Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa Kijiko 1 cha chai
👉 Pilipili mbichi iliyosagwa kijiko 1 cha chai
👉 Bizari ya Kababu ½ paketi
👉 Chumvi kiasi
👉 Mafuta kiasi ya kukaangia
👉 Mayai 2
👉 slice za mkate 2
♦️JINSI YA KUPIKA
1. Weka nyama Yako katika bakuli kubwa
2. loweka slice za mkate katika maji kisha zikamue maji uzivuruge kwa mkono ndani ya nyama hakikisha zinachanganyika na nyama vizuri
3. Changanya nyama pamoja na viungo vyote katika bakuli.
4. Chukuwa mayai yako vunjia katika huo mchanganyiko changanya tena mpaka vichanganyike
5. Fanya madonge shape ya duara kama kwenye picha weka kando.
6. Kisha Kaanga kama sambusa mpaka Zibadilike rangi.
7. Epua zikiwa tayari kwa kuliwa.
FINISH
𝕋𝕌ℕ𝔸ℙ𝕆𝕂𝔼𝔸 𝕄𝔸𝕋𝔸ℕ𝔾𝔸ℤ𝕆 𝔹𝔼𝕀 ℕ𝕀 15000 𝕋𝕌 𝕂𝕎𝔸 𝕎𝕀𝕂𝕀 3 𝕋𝔸𝕋𝕌 𝕎𝔸𝕊𝕀𝕃𝕀𝔸ℕ𝔸 ℕ𝔸𝕊𝕀 𝕂𝕎𝔸 0752338972
0 Comments
Welcome to comment