Welcome mapishiclub.Blogspot.Com
LAMBALAMBA ZA MAZIWA
🛑🛑 MAHITAJI.....
1.Sukari kiasi Chako
2.Rangi yoyote
3.Maziwa fresh nusu lita
4.Vanilla ya Maji au unga kifuniko 1
5.Vikopo vya lamba lamba
6.vijiti vya lamba lamba
7:Custard powder kikombe kimoja CHA robo
👉👉JINSI YA KUANDAA÷ANZA KUCHEMSHA MAZIWA YAKO KWA MOTO MDOGO TU WA KAWAIDA HAKIKISHA YASI SHIKE CHINI
🍧KISHA WEKA UNGA WA CUSTARD KOROGA HADI UWONE MAZIWA YAMEANZA KULETA UZITO YATOE JIKON
🍧KISHA YATIE MAZIWA YAKO KWENYE MAJI YA LITA 5 .
🍧BAADA YA HAPO CHANGANYA SUKARI HADI IWE TAMU KISHA WEKA RANGI YEYOTE RANGI WEKA KIDOGO SANA TIA VANILLA KISHA TAYARISHA VIKOPO.UKISHA MIMINA
🍧 MCHANGANYIKO WAKO KATIKA VIKOPO ANZA KUWEKA VIJITI (PIA UNAWEZA KUTUMIA MAZIWA YA UNGA VIJIKO 3-4 VYA CHAKULA KADRI UNAVYO HITAJI UZITO WA LAMBA LAMBA.
0 Comments
Welcome to comment