Half cake
Mahitaji
Unga wa ngano kikombe 1na1/2 (kama robo hivi)
Sukari 1/4 kikombe
Baking powder 1/2 kijiko cha chai
Magadi soda (bicarbonate soda/baking soda) 1 kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai
Mafuta ya kukaangia
Maji ya uvuguvugu kiasi
Matayarisho
Changanya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) kisha ukande (hakikisha unakuwa mgumu) Baada ya hapo sukuma na ukate shape uipendayo (hakikisha unakata vipande vinene kiasi na sio kama mandazi) Baada ya hapo ziweke sehemu yenye joto na uache ziumuke. Zikisha umuka zikaange katika moto mdogo ili ziive mpaka ndani. Zikisha iva zitoe na uziweke katika kitchen towel ili zichuje mafuta. Ziache zipoe na hapo zitakuwa tayari kwa kuliwa.
dondoo muhimu:-👇👇👇👇👇
Jinsi ya kupika half keki zilizo pasuka na kuiva vizuri.
1.Hakikisha unatumia vipimo sahihi bila kusahau bicarbonate of soda(baking soda) hiki ndicho kiungo muhimu ktk half cake na baking powder...(hamira SI lazima kuweka kwa half cake za kula tu...labda ziwe za biashara)
2.Unga wako unapokanda uwe mgumu hata kidole kishindwe kupenya kwenye unga
Hauhitaji kuikanda sana kama maandazi ukishashikana tu inatosha.
3.Weka half keki zako kwenye mafuta kabla hayajapata moto.
4.Poza mafuta yako kila baada ya mpiko mmoja.(unaeza kuepua ili yapoe chini...au ukaongeza mafuta ya baridi jikoni )
Showing posts with label Mapishi tu. Show all posts
Showing posts with label Mapishi tu. Show all posts
Kuna aina mbalimbali za mapishi ya keki, hapa ni mfano wa mapishi ya keki ya vanilla:
Viungo:
- 2 1/2 vikombe vya unga wa ngano
- 2 vijiko vya chai vya unga wa kuoka
- Nusu kikombe cha siagi iliyoyeyuka
- 1 kikombe cha sukari
- 2 mayai
- 1 kikombe cha maziwa
- 1 kijiko cha chai cha vanilla extract
Jinsi ya kuandaa:
1. Kwanza, preheat oven yako hadi nyuzi
Welcome mapishiclub.Blogspot.Com


<
Maligafi
1:maji l0
2:sulporic acid 1,5 Nusu
3:siless vijiko 5
4:formalinge vijiko 5
5:chumvi robo ilikuongeza uzito wa sabuni
6:sodash vijiko 4 vya chakula
7:Rangi kijiko 1 chakula
8:Perfume vijiko 2 Vya chakula
9:maji lita 10
#changanya vyote kwenye maji ya lita 10
"koroga dakika 20-30 na uhakikishe hakuna Weupe wa mabonge ndani ya dawa
N.B
<